OnlineRadio
OnlineRadio
KARIBU TUIMBE

Ni kipindi kinachowalenga waimbaji na waandaaji wa nyimbo za injili yaani waimbaji binafsi,bendi,kwaya na producers.Lengo la kipindi ni kutambulisha kazi zao kwa jamii wametoka wapi,wapi walipo na wapi wanakusudia kufika na jamii kupata nafasi ya kuwashauri kwa namba za simu watakazotoa.

Kipindi hiki kinachokujia kila siku za Jumanne na Alhamisi saa 10:30-11:30 Jioni

NO PRESENTERS FOR THIS PROGRAM!

KAMBI YA JAMII

Ni kipindi cha kijamii kinachobeba mada mbalimbali za kijamii kama vile Elimu,Afya,Uchumi,Mavazi,Usalama barabarani,Haki za Binadamu,Sheria mbalimbali na mambo mengine ya kijamii na vyote vikiambatana na neon la Mungu.Lengo ni kuielimisha jamii katika yote wanayopitia katika maisha yao ya kila siku.

Kambi ya Jamii hukujia kila siku ya Jumanne hadi Ijumaa kwanzia saa 9:30-10:30 jioni

NO PRESENTERS FOR THIS PROGRAM!

NENO LA BWANA LISIONDOKE KINYWANI MWAKO

Kipindi hiki kinamfululizo wa mistari yote ndani ya Biblia kwanzia Mwanzo hadi Ufunuo wa Yohana.Kipindi hiki pia kimedhaminiwa na Biblica na msaada wa Sauti unapatikana katika toleo la NENO BIBLIA.Lengo la kipindi hiki ni kuwajengea jamii umuhimu wa kusoma na kulikiri neon la Bwana kwa vinywa vyao kila siku

Hiki Ni kipindi kinachosikika kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11:30-12:00 Jioni

NO PRESENTERS FOR THIS PROGRAM!

ENZI ZILE

Hapa unapata ladha ya muziki uliopigwa zamani na unakutana na waimbaji wa nyimbo za injili walitangulia kumwimbia mungu miaka mingi iliyopita

Jumapili saa nane kamili mchana mpaka saa tisa kamili mchana

NO PRESENTERS FOR THIS PROGRAM!

UJUMBE NA MUZIKI

ni kipindi ambacho kinakuletea jumbe zilizoko ndani ya nyimbo pamoja na Muziki unaobeba jumbe hizo hapa unamfahamu mwimbaji alikotoka aliko na anakokwenda

Siku ya juma mosi saa moja na nusu mpaka saa mbili na nusu usiku

NO PRESENTERS FOR THIS PROGRAM!

WATOTO NA FAMILIA

Kipindi cha watoto na familia kinakupa nafasi ya kujifunza kuhusu malezi ya watoto,mambo ya kuwafundisha watoto nawajibu wa wazazi kwa watoto ili kumfanya mtoto wako akue katika maadili ya kimungu

Tunakutana hapa siku ya ijumaa kuanzia saa kumi na mbili na nusu mpaka saa moja kamili usiku

NO PRESENTERS FOR THIS PROGRAM!

WANANDOA

Kipindi cha wana ndoa ni kipindi mahususi kwaajili yako mwana ndoa na wewe unaye tarajia kuingia katika taasisi hiyo ya ndoa,hapa tunachambua maana halisi ya ndoa,nini kusudi la mungu kuweka ndoa,namna gani ya kutatua changamoto katika ndoa na mambo kadha wa kadha

Kuhusu ndoa ni hapa safina radio pekee juma tano saa kumi na mbili na nusu mpaka saa moja kamili usiku husu ndoa ni hapa safina radio pekee juma tano saa kumi na mbili na nusu mpaka saa moja kamili usiku

NO PRESENTERS FOR THIS PROGRAM!