OnlineRadio
OnlineRadio
Nov 24
OPERESHENI YA MAOMBI

Jiandae kwa ajili ya maombi maalum ya kufunga pamoja na kukomboa nafsi na miguu yako kwa ajili ya kuandaa mwaka WA 2018 kwa kufanya kitendo cha imani 24 Na Asheri akamnena, Na abarikiwe Asheri kwa watoto; Na akubaliwe katika nduguze, Na achovye mguu wake katika mafuta. Kumbukumbu la Torati 33 :24 kutawala mwaka unaikuja. Share tunaanza 26/11/2017---16/12/2017more